kishapu

Matangazo

KISHAPU SECONDARY SCHOOL

Thursday, 21 July 2016

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu  Nyabaganga Taraba, awapa pongezi Walimu wa shule ya sekondari ya Kishapu kwa ufaulu mzuri wa matokeo ya kidato cha sita
Mkuu wa wilaya ya kishapu Nyabaganga Taraba afanya ziara shule ya kishapu na kuwapa pongezi walimu wa shule hio kwa ufaulu mzuri wa matokeo ya kidato cha sita, na kua nafasi ya 2 kati ya shule 8 mkoa wa Shinyanga na kitaifa kua katika nafasi ya 39 kati ya 423.
Mkuu wa wilaya ka Kishapu akikagua madaftari ya wanafunzi wa kidato cha pili.

Mkuu wa wilaya alizungumza na wanafunzi wa kuwataka kua na heshima kwa walimu wao, na kua na bidiii katika masomo, ili kuongeza ufaulu hasa kwa wanafunzi wa kutwa.

Sunday, 17 July 2016